0


mohammad alsahlawi
mohammad alsahlawi
Jana vichwa na mioyo ya Watanzania iligubikwa na Simanzi mara baada ya Taifa Stars kupokea kichapo cha goli 7-0  kutoka kwa Algeria.
Saudi Arabia imeitwanga East Timor kwa mabao 10-0 katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia.
Hadi mapumziko, Saudi Arabia ilikuwa inaongoza kwa mabao mabao manne, kipindi cha pili
ikaongeza mengine sita na kukamilisha idadi hiyo ya mabao sita.
Wageni hao ndiyo walionekana kuutawala mpira muda wote wangeweza kufunga hata mabao 15 au
zaidi kama wangekuwa makini.
BOFYA UWE MJANJA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BOFYA UWE MJANJA

Post a Comment

 
Top