![]() |
| Aunty Ezekiel na Wema Sepetu |
New
Gossip zinadai kuwa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wametibuana na sio
best friends tena, habari hizo kwa mujibu wa gazeti moja zinasema chanzo
cha ndani toka kwa wawili hao zinadai kuwa Wema na Aunty walikwaruzana
hivi juzi kati kabla ya Wema Sepetu kwenda nchini China
kibiashara
ambapo bado yupo mpaka sasa na kumtosa shoga'ke huyo Aunty Ezekiel.
Katika safari hiyo Wema ameongozana na Martin Kadinda na Petitman.

Post a Comment