0

 Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.

 Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.

The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani Brussel

 Msanii Shishi Baby Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake bidada Latifa
 Chantel akiwa na msanii Shilole baby
                                  Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake.
                               Wanyamwezi wawili [Shilole na Maganga One).
Shishi bby akilamba picha na mmoja wa wapenzi waliokuja kumlaki uwanjani hapo


                                          Team Maganga One ikiwa na Shilole.


 Kikosi kazi ambacho kitahakikisha Shilole atafanya kile kimemleta kikipata picha ya pamoja 
Msanii Shilole akipata picha za kumbukumbu na wanadada waliokuja kumlaki uwanjani hapo
      Toto la Kinyamwezi ambalo linatisha kisawasawa linapokuwa jukwaani Ijumaa hii litakinukisha pale Leuven na jumamosi jukwaa litakuwa halitoshi pale Brussel
                                                         [picha zote na Maganga One Blog]
BOFYA UWE MJANJA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BOFYA UWE MJANJA

Post a Comment

 
Top