Mvutano mkubwa umezuka katika kata ya Moshono mkoani Arusha baada ya familia mbili kugombania ardhi na kushindikana kuzikwaa kwa mwili wa marehemu Peter
Kivuyo katika shamba lake iliyo lazimu mwili kukaa chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya Mountmeru kwa siku saba ugomvi ukiendelea kwa madai kuwa eneo Hilo alishaliuza hali iliyo walazimu vijana kutoka kabila la Masai kutumia nguvu kuchimba kaburi na kuzika mwili wa marehemu huku wakiweka ulinzi mkali wakiwa na silaha za jadi.

Post a Comment