0

Mabasi ya mwendokasi kuanza kazi rasmi mwezi Desemba kwenye barabara ya Kilomita 20.9 ya Kimara mpaka Kivukoni.


Mkurugenzi mkuu wa wa UDA-RT, kampuni inayohusika na usimamizi wa mabasi hayo amesema wanamalizia baadhi ya mambo ili mradi huo uanze kufanya kazi rasmi.



Amesema mabasi hayo tayari yameshawasili hapa nchini, kitu kilichobakia ni kuweka mfumo wa kieletroniki utakaokuwa unajiendesha wenyewe wa kulipa nauli kwa abiria.



Amesema pia tani kumi ya mageti yatakayowekwa kwenye sehemu abiria watakapopandia mabasi hayo, yamewasili nchini jumatano ijayo, yataanza kufungwa siku yoyote na ujenzi huo utamalizika ndani ya wiki tatu.



Mpaka sasa UDA-RT imepokea mabasi 140, mabasi 101 kati ya hayo yana uwezo wa kubeba abiria 150, yaliyobaki yana uwezo wa kubeba abiria 80 tu.



Mradi huo utasaidia na kurahisisha adha ya usafiri Jijini Dar
BOFYA UWE MJANJA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BOFYA UWE MJANJA

Post a Comment

 
Top