Muigizaji
Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa
INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo
movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi
picha zao, stori na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea
haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.
Back to the Topic
Hivi
majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo
iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe comments na like za
kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo ni
NOUMA. Comment za vidume wengi walionyesha kupagawa na urembo wa
mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja
akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa
comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama
kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache….
Picha Yenyewe
kama
unavyoina hapo juu, Nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha
kitenge chenye maua maua ambacho kimemuacha wazi sehemu yote na miguu
na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt cha rangi
nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wasi sehemu ja juu
kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya
kiuno upange wa upavuni kuoneena…
Tatoo za Lulu
Mara
nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa
zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake kama unavyoziona kwenye picha
za hapo chini….Lakini hii ubavuni ni NADRA SANAAA…
Post a Comment